- 150
- 7 492 165
Utabiri Wa Nyota
Tanzania
Приєднався 18 гру 2017
Welcome to Cosmic Insights, your go-to destination for all things astrological!
Dive into the mystical realms of the zodiac with our expert horoscope readers who decode the celestial movements to uncover your destiny. Whether you're a seasoned stargazer or a curious novice, our channel is your cosmic compass navigating through the complexities of life. Discover the profound insights of astrology and unlock the secrets of the universe. Join our community and embark on a journey of self-discovery, enlightenment, and cosmic connection.
Subscribe now and let the stars illuminate your path!

Відео
Bahati Nzuri au Bahati Mbaya - Angalia mwenyewe
Переглядів 7982 роки тому
Bahati Nzuri au Bahati Mbaya - Angalia mwenyewe
NGUVU YA NYOTA ZINAZOKOSA MUELEKEO KIMAISHA
Переглядів 3,3 тис.2 роки тому
NGUVU YA NYOTA ZINAZOKOSA MUELEKEO KIMAISHA
NDOTO ZINAZOHUSIANA NA SAFARI KINYOTA
Переглядів 47 тис.2 роки тому
NDOTO ZINAZOHUSIANA NA SAFARI KINYOTA
Utabiri Wa Nyota - NDOTO ZA KUFANYA MAPENZI NA WANYAMA
Переглядів 4,8 тис.3 роки тому
Utabiri Wa Nyota - NDOTO ZA KUFANYA MAPENZI NA WANYAMA
Utabiri wa nyota - Matatizo ya kinyota usiyoyajua
Переглядів 3,3 тис.3 роки тому
Utabiri wa nyota - Matatizo ya kinyota usiyoyajua
MADHARA YA NYOTA ISIYOTULIZA KIPATO - Mama Kuluthum
Переглядів 5 тис.3 роки тому
MADHARA YA NYOTA ISIYOTULIZA KIPATO - Mama Kuluthum
UKIOTA UMEKUTA MAITI USIOIFAHAMU - Utabiri wa Nyota na Mnajimu
Переглядів 27 тис.3 роки тому
UKIOTA UMEKUTA MAITI USIOIFAHAMU - Utabiri wa Nyota na Mnajimu
NGUVU YA MASHARIKI YAMRUDISHA MPENZI USIKU - Utabiri wa Nyota na Mnajimu
Переглядів 2,7 тис.4 роки тому
NGUVU YA MASHARIKI YAMRUDISHA MPENZI USIKU - Utabiri wa Nyota na Mnajimu
DAWA YA MPENZI ASIYETULIA HII HAPA - Utabiri wa Nyota na Mnajimu
Переглядів 13 тис.4 роки тому
DAWA YA MPENZI ASIYETULIA HII HAPA - Utabiri wa Nyota na Mnajimu
KWASHIDA MBALIMBALI ZA KINYOTA NI HAPA PAKUPATA TIBA - Utabiri wa Nyota na Mnajimu Kuluthum
Переглядів 1,6 тис.4 роки тому
KWASHIDA MBALIMBALI ZA KINYOTA NI HAPA PAKUPATA TIBA - Utabiri wa Nyota na Mnajimu Kuluthum
KAMA UNA MATATIZO MAKUBWA TUMIA MSHUMAA HUU USIKU - Utabiri wa Nyota na Mnajimu
Переглядів 22 тис.4 роки тому
KAMA UNA MATATIZO MAKUBWA TUMIA MSHUMAA HUU USIKU - Utabiri wa Nyota na Mnajimu
UKIOTA UMEPOTEZA SEHEMU ZAKO ZA SIRI JIHADHARI NA HILI - Utabiri wa Nyota na Mnajimu
Переглядів 1,9 тис.4 роки тому
UKIOTA UMEPOTEZA SEHEMU ZAKO ZA SIRI JIHADHARI NA HILI - Utabiri wa Nyota na Mnajimu
KUPATA BAHATI YA PESA KUTUMIA NAMBA YAKO YA BAHATI - Utabiri wa Nyota na Mnajimu
Переглядів 20 тис.4 роки тому
KUPATA BAHATI YA PESA KUTUMIA NAMBA YAKO YA BAHATI - Utabiri wa Nyota na Mnajimu
UKITAKA KUPATA MAFANIKIO MAKUBWA ISHI NA NA NYOTA ZIFUATAZO - Utabiri wa Nyota na Mnajimu
Переглядів 29 тис.4 роки тому
UKITAKA KUPATA MAFANIKIO MAKUBWA ISHI NA NA NYOTA ZIFUATAZO - Utabiri wa Nyota na Mnajimu
Mapenzi ya kuvutwa kutumia picha yake humrudisha bila kujijua - Utabiri wa Nyota na Mnajimu
Переглядів 9 тис.4 роки тому
Mapenzi ya kuvutwa kutumia picha yake humrudisha bila kujijua - Utabiri wa Nyota na Mnajimu
HAWA NDIO WACHUMBA WENYE HISIA KALI KINYOTA - Utabiri wa Nyota na Mnajimu
Переглядів 27 тис.4 роки тому
HAWA NDIO WACHUMBA WENYE HISIA KALI KINYOTA - Utabiri wa Nyota na Mnajimu
CHAGUA MCHUMBA HARAKA KUPITIA HERUFI ZIFUATAZO - Utabiri wa Nyota na Mnajimu
Переглядів 69 тис.4 роки тому
CHAGUA MCHUMBA HARAKA KUPITIA HERUFI ZIFUATAZO - Utabiri wa Nyota na Mnajimu
Jua ALAMA Za Kukosa Bahati Kwenye Kiganja Cha Mkono Wako - Utabiri wa Nyota na Mnajimu
Переглядів 15 тис.4 роки тому
Jua ALAMA Za Kukosa Bahati Kwenye Kiganja Cha Mkono Wako - Utabiri wa Nyota na Mnajimu
Africa is love! Culture, Climate, People, Wildlife and Peace. Real journey of Africa.
Переглядів 3364 роки тому
Africa is love! Culture, Climate, People, Wildlife and Peace. Real journey of Africa.
Kuboresha UHUSIANO wako Kinyota tumia njia HII - S02E06 Utabiri wa Nyota na Mnajimu Kuluthum
Переглядів 3,4 тис.4 роки тому
Kuboresha UHUSIANO wako Kinyota tumia njia HII - S02E06 Utabiri wa Nyota na Mnajimu Kuluthum
Utabiri wa Nyota na Mnajimu Kuluthum
Переглядів 3,6 тис.5 років тому
Utabiri wa Nyota na Mnajimu Kuluthum
MIVUTO YA BIASHARA ISIYO NA MADHARA YOYOTE KINYOTA- S01EP99 - Utabiri wa Nyota na Mnajimu Kuluthum
Переглядів 22 тис.5 років тому
MIVUTO YA BIASHARA ISIYO NA MADHARA YOYOTE KINYOTA- S01EP99 - Utabiri wa Nyota na Mnajimu Kuluthum
Masaa Yakumjua ADUI Yako KINYOTA - S01EP98- Utabiri wa Nyota na Mnajimu Kuluthum
Переглядів 22 тис.5 років тому
Masaa Yakumjua ADUI Yako KINYOTA - S01EP98- Utabiri wa Nyota na Mnajimu Kuluthum
ZUIA Mpenzi Asikuache Kutumia UNYAYO WAKE KINYOTA - S01EP97 - Utabiri wa Nyota na Mnajimu Kuluthum
Переглядів 19 тис.5 років тому
ZUIA Mpenzi Asikuache Kutumia UNYAYO WAKE KINYOTA - S01EP97 - Utabiri wa Nyota na Mnajimu Kuluthum
Nmeota mwanangu anaanguka kinyumenyume maan yke nni
Ukiota unapewa hera nawatu wanareta kwako unapokea unapereka ndan inamaana gan
Je ukiota unaretewa hera kwako na watu wengi wanatokea mbere na nyuma ya nyumba yako ukawa unapokea unapereka ndan manayake nin
Umegusa ulemule thank you
Na ukiota ntoto ndogo ametumbukia kisimani na kafariki
Mii nimeota mtoto wangu kafarikii
Mimi nimeota mtoto wangu amelazwa hospitali
Mj
mimi apa sijui
Mim niliota nmemkata mwanang wakiume kidudu
As ante Mimi ni r wangu no f
Mimi nmeota mwanangu katoka shule afukafikia Kwa jiran wanaanza kucheza ala akaanguka akaumia akaanza kulia na mm nkaanakumchapa ila wakat namchapa nkamuona akuwa amenenepa pana
Mbona jumapili hujItaja mama
Uki ôta nikwa mutu mwengine anakwa mbiya kama anafanya mapenzi na wanyama
Ukiota ume chuma uyoga ume uweka kwenye mufuko ukaokota na kitabu juu ya uyoga kisha ukaweka kwenye mufuko na kwenda nyumbani mana yake nini
Mume wng aliota anaitwa na marehem dadaake na mm nikaota nimetoka kwangu sina viatu nikaenda kwa shogaang yy alifiwa na mumewe nikamuomba viatu akanipa kandambili nyeus nikavaa ndoto hizi zinaashiria nini
Mm nimeota kichanga kimekufa afu Kuna mtu kakifukua anatembea nacho katika begi kamefungwa miguu na mikono jmn😢😢😢😢😢
Afu sikafaham hata na tulikaona mtoni wakati tunaoga na watu wengi kabas
je m na m
je m na m
Ukiota ndoto unafanya mapenzi na mme wa mtu na ni boy friend wako inamaanisha nini
Je ukibadilisha jina na nyota itabadilika? Na kama umeoana na mtu mwenye nyota sizizoendana wafanyeje kubadilisha mwelekeo wa nyota
A aleikum na ukiota maiti huwajuyi ? Ni nini
❤🎉
Asante Sana mama Mimi nakufatiliaga Sana Ila Mimi Kuna ndoto inanisumbuwaga Sana kila mara inanirudia Sana hiyo ndoto ni naotaga nikienda tembelea rafiki yangu anakuwa nimujamuzito Niki fikatu anajifunguwa napia na muona mudogoyangu nikifika kwake anae pea najifungu mtoto Yani maraningi Sana ningeomba tafsiri ya hiyo ndoto Ina maana gani kwangu
Nyota yangu Mimi ni ya maji nataka nijue maana yake🥹
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh,mm nimeota nimepatiwa mtoto mchanga nikambeba kifuani kama vile mtu akijifungua anaekewa mtoto wake kifuani ....je ni nn maana yake
E mwanamke
Niambie ndoto marehemu shangazi ananinyowa
Habari dada,naomba msaada mie nnashida nnapendwa sana na wanamme tena wenye hera,lakini sina bahati ya kudumu nao yani wanapoteaga tu bila sababu youote ile,nimeamgaika sana hadi saizi nawachukia kabisa wanamme kutokana najinsi ninavyofanyiwa,naomba nisaidie dada kwani nimeamgaika sana hadi nimechoka
Je o na m zinaendana
M na M zinaendano
S na H vina endana
Ukiota jirani ananyonyesha
Mimi niliota tukiwa matatu nikahisi kkunywa maji tukaona mto nikaeda kukunywa maji sikuiona matatu hiyo tena
Mimi ni herufi yangu ni M na nimeolewa na F twaendana
Nahitaji pete yenye kito cha ruby ntaweza kupata
Kama mutu anaota iko anaenda ulaya,kipindi hicho anaishi eko, inamaana gani? Tena ndoto inajirudia rudia
Nimeota na safiri na mtoto wangu wa kiume first born kwa pikipiki tukieiekea stage za magari nn maana yake. Niliamka kwenye ndoto kabla kufika stage.
Mimi ni H je naendana na herufi M
Na ukiota unafanya mapnz na mtoto mdog je
Niambie ndoto yamto
Nimeota manunua Michele kg 2 halafu nikapewa na muuza duka akanipa tena kg 2
Pole na kazi,Mimi nimeota mwanaume alishakufa amekufa tena amefufuka
Ahsante kwa Elimu
Naitaj number yako
Mnajitia kutoa namba za simu, mkipigiwa mnakata, sms wasap hamjibu .....😢
A aleikum. Utajuwa Vipi huyu ana hisia nyingi??
Mim ninaswal naomba kuuliz ,je heruf A inaendan na heruf ipi?
Mm nimeota nafanya mapenzi na babu
Je,nliota dadangu mkubwa amekuja nyumbani na binti yake,na nilkuwa inhaling saa hi nko nci za nje,nini maaana?